Darasa la Kiswahili – Kutengeneza Ice Cream
About Course
Kuwa mtengeneza Ice Cream Mbunifu na mwenye kujiamini ndani ya siku 1. Karibu kwenye darasa la Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Nelwas Gelato, Mercy Kitomari. Ukimaliza darasa hili utakua na ujuzi wa kutengeneza Ice Cream aina Zaidi ya 10 pamoja na ujuzi mwingine Zaidi.
Mercy ameshinda tuzo mbalimbali za ujasiriamali kwa biashara yake ya Ice Cream, Kampuni yake ya Nelwas inasambaza bidhaa katika maduka Zaidi ya 10 jijini dar es salaam.
Atakupeleka jikoni kwake ili kujifunza kila kitu kuanzia jinsi ya kuanza biashara, kuandaa vifaa, kununua viungo mpaka jinsi ya kutengeneza Ice Cream kwa vitendo. Katika Darasa hili, hujifunzi mapishi tu, unajifunza jinsi ya kuuza Ice Cream.
Course Content
UTANGULIZI
-
Kuhusu Mwalimu na Darasa la Ice Cream
02:09
UTAJIFUNZA NINI
AINA ZA ICE CREAM
IFAHAMU BIASHARA YA ICE CREAM
MTAJI WA BIASHARA
VIFAA
VIUNGO
JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM
FAIDA YA BIASHARA
JINSI YA KUTENGENEZA VANILLA ICE CREAM
JINSI YA KUTENGENEZA CHOCOLATE ICE CREAM
JINSI YA KUTENGENEZA STRAWBERRY ICE CREAM
BONUS CLASS
Student Ratings & Reviews
No Review Yet