Darasa la Kiswahili – Kutengeneza Ice Cream

Kuwa mtengeneza Ice Cream Mbunifu na mwenye kujiamini ndani ya siku 1. Karibu kwenye darasa la Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Nelwas Gelato, Mercy Kitomari. Ukimaliza darasa hili utakua na ujuzi wa kutengeneza Ice Cream aina Zaidi ya 10 pamoja na ujuzi mwingine Zaidi. Mercy ameshinda tuzo mbalimbali za ujasiriamali kwa biashara yake ya Ice Cream, …

Darasa la Kiswahili – Kutengeneza Ice Cream Read More »